Mto Kikuletwa
Mandhari
Mto Kikuletwa ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (upande wa kaskazini mashariki).
Unatiririka hadi bwawa la Nyumba ya Mungu. Halafu maji yake yanaelekea Bahari ya Hindi kupitia mto Pangani.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Kikuletwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |